MUZIKI sio tu burudani, bali pia ni sehemu ya maisha ya kila siku ya wasanii. Mistari inayoandikwa na wasanii mara nyingi hutokana na maisha yao halisi.
NYOTA wa Bongo Fleva, Billnass amesema mapenzi yake kwa mkewe Nandy yaheshimiwe huku akiwachana wanaomfuatilia kwa mabaya ...
Nimewasikia watu wengi wakisema kuwa “ hakuna kazi rahisi duniani”. Huenda kauli hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa. Nimeamua kutanguliza usemi huu ili pengine uelewe kwa nini mwanamuziki mkongwe katika ...
Mwanamuziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki, alimaarufu kama Ney wa Mitego amesema yeye ndio chanzo cha maamuzi ya nyimbo kufungiwa Tanzania. Nyimbo zaidi ya kumi zilitangazwa na Mamlaka ya ...
Sekta ya sanaa ya muziki imeshuhudia mabadiliko makubwa mwaka 2019. Mojawapo ya taarifa kubwa mwaka huu ikiwa msanii Harmonize kujitosa nje ya kundi la Wasafi na mtindo mpya wa Gengetone kutetemesha ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results