Serikali ya Tanzania chini ya rais John Magufuli ilipitisha waraka wa elimu namba 6 wa mwaka 2015 kuhusu utekelezaji wa elimu bure kwa shule sekondari. Waraka huo ulioanza kutekelezwa Januari 2016 ...
Ripoti mpya ya hali ya elimu Barani Afrika iliyotolewa na Benki ya dunia imeziorodhesha nchi za Uganda na Tanzania katika kundi la pili la mataifa yenye kiwango cha juu cha watoto wanaoachia katikati ...