DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki na Maigizo, Agness Suleiman Kahamba maarufu kama 'Aggybaby' amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora ...
Msanii nguli wa Filamu nchini Tanzania ambaye alijikusanyia umaarufu wa kipekee katika Ukanda wa Maziwa Makuu na hata mataifa mengine ya Afrika, Ulaya na Marekani Steven Charles Kanumba amezikwa na ...
Manung'uniko yamezuka kufuatia kuwasilishwa kwa pendekezo la dharura la mswada wa mabadiliko ya sheria Namba 3 wa maka 2019 Tanzania unaotoa muongozo wa kazi katika sekta ya filamu. Mswada huo ...
Najma Juma ni mwigizaji anayechipuka kwa kasi katika tasnia ya filamu. Kwa kipaji cha kipekee na juhudi zisizo na kikomo, amekuwa akivutia macho ya watazamaji na wataalamu wa filamu. Ingawa ni mpya ...
Makala ya Habari rafiki, hii leo mtangazaji Emmanuel Makundi ameangazia kifo cha msanii nguli wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba ambaye alifariki usiku wa kuamkia siku ya Jumamosi ya tarehe 7 ...
Kutakuwa na maonyesho za filamu fupi kutoa nje ya nchi na hapa nyumbani zitakzo tambulisha bwana Heinz Hermann kutoka Ujerumani na Bi Getrude Malizeni na Bi Aika Kirei kutoka Tanzania. Bwana Heinz ...
Kwa miaka 60 nchi za Ujerumani na Tanzania wamekuwa na mahusiano mazuri katika sekta tofauti. Kwa kuwa miaka 60 ni nyingi imeonekana ni vyema Filamu Elimishi ikatumika kupitia baadhi za miradi ...
Mtengenezaji filamu wa Kijapani ametumia simulizi ya manusura wa bomu la atomiki ambaye amedhamiria kuienzi kumbukumbu yake. Mwongozaji filamu Kawase Mika anataka filamu yake hiyo ya “Tarishi wa Posta ...
Tanzania Film Board (TFB) has lifted a ban slapped on Bongo movie actress Wema Sepetu imposed in October, 2018. The ban was prompted by Wema's graphic video that she posted on social media. In ...
Tasnia ya filamu inazidi kukuwa nchini Tanzania kwa kujitokeza waigizaji na kampuni nyingi za uigizaji wakitumia Kiswahili, lakini swali kubwa kwa wahakiki wa filamu ni ikiwa kweli kuwa tasnia hiyo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results