Mechi ya La Liga kati ya Villarreal na Barcelona iliyokuwa ichezwe jijini Miami imeahirishwa, huku waandaaji wa tukio hilo, ...
KISARAWE: VIJANA wa Shule ya Sekondari Minaki iliyopo jijini Dar es Salaam, wamehimizwa kushiriki michezo lakini pia ...
Nyota wa Tenisi, Novak Djokovic amempongeza nahodha na mshambuliaji wa Al NAssr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo kwa kauli ...
MCHEZO wa riadha ni moja ya michezo inayofanya vizuri sana kuliko mchezo wowote katika nyanja ya kimataifa hapa nchini. Wengi ...
Ni miaka 41 imepita tangu Tanzania ilipotwaa kwa mara ya kwanza na ya mwisho medali katika michezo ya Olimpiki ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne ikishirikisha wanamichezo kutoka nchi zaidi ya ...
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza rasmi maandalizi ya Mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco katika Michuano ya CHAN 2024 ambapo leo Jumatatu imefanya mazoezi ya kujiweka sawa. Morocco ...
Chama cha mchezo wa baiskeli nchini Tanzania kimejitoa kushiriki michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mapema mwezi Septemba nchini Congo Brazzaville. Katibu mkuu wa Kamati ya Olimpiki ...
Mashabiki wa michezo wana hamu kubwa kujua nani atarithi mikoba ya waziri anayeondoka Bi. Amina Mohammed. Waziri ni mkuu wa idara ya serikali. Waziri wa michezo si mchezo wa soka, kwa sababu watu ...
Mataifa matatu ya Afrika Mashariki ya Kenya, Uganda na Tanzania yamewasilisha maombi ya kuwa wenyeji wa michuano ya kandanda barani Afrika AFCON mwaka 2027. Iwapo yatafanikiwa itakuwa ni mara ya ...
Serikali ya Tanzania imesema itafanya mazungumzo na Serikali ya Marekani kuhusiana na utaratibu uliowekwa kwa Tanzania na ...
Jukwaa la michezo jumpili ya October 23 iliangazia riadha Tanzania, na tatizo linalokumba nchi hiyo katika mchezo huo, Victor Abuso amezungumza na mwanariadha wa kwanza wa Tanzania aliyeishindia nchi ...