Kesi hiyo ilitarajiwa kuanza kusilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, maarufu kama Mahakama ya Kisutu ...
KOCHA wa KMC, Marcio Maximo amekiri vitatu mfululizo ambavyo wamekumbana navyo kwenye ligi, vinamnyima usingizi na bado ...
KISARAWE: VIJANA wa Shule ya Sekondari Minaki iliyopo jijini Dar es Salaam, wamehimizwa kushiriki michezo lakini pia ...
MCHEZO wa riadha ni moja ya michezo inayofanya vizuri sana kuliko mchezo wowote katika nyanja ya kimataifa hapa nchini. Wengi ...
Ni miaka 41 imepita tangu Tanzania ilipotwaa kwa mara ya kwanza na ya mwisho medali katika michezo ya Olimpiki ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne ikishirikisha wanamichezo kutoka nchi zaidi ya ...
Chama cha mchezo wa baiskeli nchini Tanzania kimejitoa kushiriki michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mapema mwezi Septemba nchini Congo Brazzaville. Katibu mkuu wa Kamati ya Olimpiki ...
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza rasmi maandalizi ya Mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco katika Michuano ya CHAN 2024 ambapo leo Jumatatu imefanya mazoezi ya kujiweka sawa. Morocco ...
Mataifa matatu ya Afrika Mashariki ya Kenya, Uganda na Tanzania yamewasilisha maombi ya kuwa wenyeji wa michuano ya kandanda barani Afrika AFCON mwaka 2027. Iwapo yatafanikiwa itakuwa ni mara ya ...
Mashabiki wa michezo wana hamu kubwa kujua nani atarithi mikoba ya waziri anayeondoka Bi. Amina Mohammed. Waziri ni mkuu wa idara ya serikali. Waziri wa michezo si mchezo wa soka, kwa sababu watu ...
Serikali ya Tanzania imesema itafanya mazungumzo na Serikali ya Marekani kuhusiana na utaratibu uliowekwa kwa Tanzania na ...
Jukwaa la michezo jumpili ya October 23 iliangazia riadha Tanzania, na tatizo linalokumba nchi hiyo katika mchezo huo, Victor Abuso amezungumza na mwanariadha wa kwanza wa Tanzania aliyeishindia nchi ...