Kinyume na miaka kadhaa nyuma ambayo vijana wengi nchini Tanzania wameonekana kuibuka na kupata mafanikio katika muziki wa kizazi kipya maarufu kama 'Bongo fleiva', hivi sasa wimbi la vijana ...
Iringa inatarajia kushuhudia mwamko mpya wa kiroho Disemba 19 mwaka huu, wakati timu ya The Light Worship Team itakapoandaa ...
Katika makala hii mwandishi wetu wa Daresalaam nchini Tanzania Steven Mumbi amejaribu kumdodosa mwanamuziki wa nyimbo za Injili maarufu sana nchini Tanzania Goodluck Gozbert kujieleza kuhusu juhudi za ...
Mbwene Mwasongwe ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili waliofanikiwa kuivusha Sanaa hiyo kutoka kuwa na wapenzi wa aina moja na kuwa wa aina mbalimbali, sasa Sanaa hiyo imefanikiwa kuwatia moyo ...
Unapopita kumbi nyingi za starehe pamoja na vilabu vya pombe, ni jambo la kawaida kusikia muziki wa injili ukipigwa maeneo hayo. Swala hilo ni kinyume na ilivyokuwa siku za nyuma ambapo muziki wa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results