Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha. Video hizo zinatawala katika ...
Sekta ya sanaa ya muziki imeshuhudia mabadiliko makubwa mwaka 2019. Mojawapo ya taarifa kubwa mwaka huu ikiwa msanii Harmonize kujitosa nje ya kundi la Wasafi na mtindo mpya wa Gengetone kutetemesha ...