Mwanamuziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki, alimaarufu kama Ney wa Mitego amesema yeye ndio chanzo cha maamuzi ya nyimbo kufungiwa Tanzania. Nyimbo zaidi ya kumi zilitangazwa na Mamlaka ya ...
Serikali ya Uganda inapendekeza sheria inayoweka masharti kwa wanamuziki wanaotoa nyimbo mpya kuziwasilisha zichunguzwe kabla ya kutolewa. Wakosoaji wa sheria hiyo wanasema inalenga kuwazuwia watu ...