Wimbo wa All I want for Christmas is You" ya mwimbaji Mariah Carey ulitoka mwaka wa 1994 na kufanya mafanikio makubwa, lakini baada ya miaka 30, imekuwa wimbo unaotawala msimu wa likizo. Nini siri ya ...
Mbwene Mwasongwe ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili waliofanikiwa kuivusha Sanaa hiyo kutoka kuwa na wapenzi wa aina moja na kuwa wa aina mbalimbali, sasa Sanaa hiyo imefanikiwa kuwatia moyo ...
Katika makala hii mwandishi wetu wa Daresalaam nchini Tanzania Steven Mumbi amejaribu kumdodosa mwanamuziki wa nyimbo za Injili maarufu sana nchini Tanzania Goodluck Gozbert kujieleza kuhusu juhudi za ...
Serikali ya Uganda inapendekeza sheria inayoweka masharti kwa wanamuziki wanaotoa nyimbo mpya kuziwasilisha zichunguzwe kabla ya kutolewa. Wakosoaji wa sheria hiyo wanasema inalenga kuwazuwia watu ...
Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, ...