Kasisi mmoja wa kanisa Katoliki nchini Kenya Paul Ogalo a.ka ‘Sweet Paul’ anatumia muziki wa kufoka kama njia ya kuwavutia vijana kufika kanisani. Anasema aliona muziki kuwa njia mwafaka sio tu ...