Nyimbo nne alizoshiriki mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, zimeingia na kutambuliwa na Grammy Academy kwa ajili ya hatua ...
Sekta ya sanaa ya muziki imeshuhudia mabadiliko makubwa mwaka 2019. Mojawapo ya taarifa kubwa mwaka huu ikiwa msanii Harmonize kujitosa nje ya kundi la Wasafi na mtindo mpya wa Gengetone kutetemesha ...
Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha. Video hizo zinatawala katika ...
Nimewasikia watu wengi wakisema kuwa “ hakuna kazi rahisi duniani”. Huenda kauli hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa. Nimeamua kutanguliza usemi huu ili pengine uelewe kwa nini mwanamuziki mkongwe katika ...