MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema amemuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya ...
UNAPOMTAJA Dk Samia Suluhu Hassan, unazungumzia Rais wa Awamu ya Sita wa Tanzania. Yapo mambo mengi unaweza kuyaweka kwenye ...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeeleza wasiwasi wake  kuhusu kile linachotaja ...
Ukandamizaji ulishamiri chini ya uongozi wa Rais alietangulia, John Magufuli, kama anavyoelewa vema Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati ambaye alikamatwa mwaka 2019 na kuwekwa kizuizini bila ya ...
Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia Katibu Mkuu wake, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo imeeleza kwamba imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Moses Kusiluka ...
Nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka. Wiki mbili kabla ya uchaguzi ...
Majuzi Rais Uhuru Kenyatta aliafanya ziara ya kibinafsi nyumbani kwa Rais John Pombe Magufuli mkoani Geita. Magufuli katika hotuba fupi ya kumkaribisha mwenzake alichekesha wengi aliposema kuwa ...
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya, ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya, Halmashauri ya ...
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani Dk. Chakou Tindwa, amesema uzoefu kwenye uongozi alionao mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Dk. S ...