Vanessa mdee ni miongoni mwa wanamuziki maarufu wa kike nchini Tanzania na barani Afrika. Siku kadhaa zilizopita Mdee alitangaza kuacha shughuli zote za muziki na burudani kupitia Podcast yake ...
KIPINDI cha hivi karibuni muziki wa Bongo Fleva umeendelea kukua na kuvuka mipaka ya Tanzania hadi kufikia jukwaa la ...
Muziki wa Reggae Afrika ulianza kushamiri baada ya Uhuru wa Zimbabwe Mwaka 1980, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa za mwanzo kupata mapokeo ya Muziki huo.Ras Innocent Nganyagwa ni Miongoni mwa ...
Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini ...
Kinyume na miaka kadhaa nyuma ambayo vijana wengi nchini Tanzania wameonekana kuibuka na kupata mafanikio katika muziki wa kizazi kipya maarufu kama 'Bongo fleiva', hivi sasa wimbi la vijana ...
DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki na Maigizo, Agness Suleiman Kahamba maarufu kama 'Aggybaby' amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora ...
KOCHA wa KMC, Marcio Maximo anaiona klabu hiyo ikiwa na kesho bora zaidi kutokana na uwekezaji unaofanywa na Manispaa ya ...
Kutana na kundi la vijana linalofanya muziki kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es salaam, Tanzania. Licha ya kujipatia rizki wanatumia fursa hiyo pia kukuza vipaji vyao. Ingawa wanapata changamoto ...
Sauti Marely ni Mtanzania ambaye ni mwimbaji, mpiga gitaa, na mtunzi wa nyimbo anayejulikana zaidi kwa mtindo wake wa Afro Fusion pamoja na ujumbe wake wa kulihamasisha jamii. Yeye anatokea Bagamoyo ...
Ni tamasha la Kwanza la muziki wa Afro Jazz Tanzania lililopewa jina Evergreen Afro Jazz ambalo limewakusanya wasanii vijana wanaowika katika muziki huu, dhamira ikiwa kuuhuisha baada ya muziki huu ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results