(Des Moines) - Serikali ya Tanzania inawahamisha kwa nguvu wamasai wenyeji kutoka katika makazi yao na ardhi ya mababu zao katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA), Human Rights Watch imesema katika ...
Serikali ya Tanzania inafanya upanuzi wa hifadhi zake za asili kwa kuwaondoa wafugaji wa jamii ya Kimasai waliokuwa wanaishi katika maeneo hayo tangu enzi. Mpango huo unalenga kuvutia utalii wa ...
Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi ...
Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amekanusha madai kwamba serijkali inatumia nguvu kuwaondoa wakaazi wa jamii ya wamasai kutoka ardhi zao huko Loliondo na Ngorongoro. Akizungumza na BBC ...
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch lisema kitendo cha serikali ya Tanzania kuwafurusha jamii za Wamasai kutoka maeneo yao ya asili kinakiuka haki zao za kuishi na ...
Watu kutoka jamii ya Wamasai wamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya serikali ya Tanzania, kupinga uamuzi wa "kuweka alama" ardhi ili kulinda wanyamapori, wakili anayewakilisha jamii hiyo amesema ...
Wawakilishi wa jamii za Wamasai nchini Kenya na Tanzania walituma ombi kwa Ufalme wa Uingereza Jumapili Oktoba 29. Mfalme Charles III anatarajiwa kuwasili Nairobi siku ya Jumatatu kwa ziara ya siku ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results