Simiyu. Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wamehimizwa kutumia misaada ya kisheria inayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kujua haki zao na kutatua migogoro kwa njia ya amani ...
Marekani. Rapa kutokea Marekani, 50 Cent anajulikana kuwa si mtu wa kuogopa kuingilia mijadala yenye utata kwenye mitandao ya kijamii, lakini anasema kuna mijadala ya aina mbili ambayo amekuwa ...
London, England. Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa mpango kamili wa mchezo uliowawezesha Manchester United kuwashinda wapinzani wao na ...
Geita. Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri ya Manipaa ya Geita na mwekezaji wa majengo ya biashara, Rashid Kwanzibwa.
Arusha. Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amemwelezea mzee Edwin Mtei kama kiongozi wa kisiasa na mtendaji wa Serikali jasiri aliyekuwa na uthubutu wa ...
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru washtakiwa wawili kati 11 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na ...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni mkoani Tanga leo. Picha na Sunday Geoerge Handeni. Serikali ya Tanzania imesema ...
Dar es Salaam. Kiungo Stephane Aziz Ki ameachana na Wydad AC ya Morocco na kujiunga na Al Ittihad ya Libya kwa mkataba wa miaka miwili. Aziz Ki ambaye alijiunga na Wydad, Mei mwaka jana, ameachana na ...
Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Erick Ndagwa (32) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results