MCHEKESHAJI maarufu nchini, Miraji Supakila 'Mkali Wenu' amesema haikuwa kazi rahisi kufika hapo alipo kutokana na changamoto alizokutana nazo na kama siyo kuwa na roho ngumu huenda ...