Kwa takribani miaka 15 katika muziki wa Bongo Fleva, Darassa, ambaye anasimamiwa na menejimenti yake ya Classic Music Group ...
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jaydee, amesema siri ya mafanikio yake katika sanaa ya muziki ni kuwa imara na kuamini katika kile anachokifanya. Ameeleza hayo juzi jijini Dar es Salaam katika ...
KIPINDI cha hivi karibuni muziki wa Bongo Fleva umeendelea kukua na kuvuka mipaka ya Tanzania hadi kufikia jukwaa la ...
Dar es Salaam. Miaka ya 2000 ilikuwa kipindi ambacho muziki wa Tanzania Bongo Fleva ulishika kasi sio ndani pekee bali hadi Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, mbali na wasanii wa ndani, kulikuwa na ...
KATIKA hali ya kushangaza na inayowashtua mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Fleva, wanandoa maarufu William Lyimo ‘Billnass’ na mkewe Faustina Mfinanga ‘Nandy’ wameibua maswali mengi baada ya ...
Ukiachilia mbali msanii kuwa na uandishi mzuri, Sauti, Floo, Midondoko na Melodi kali za kuvutia pia anahitaji tiketi ya kukubalika na mashabiki iliaweze kufanikiwa kwenda mbali zaidi kimuziki.
DAR ES SALAAM: STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Chino Kid, anatarajia kutoa kolabo mpya na msanii anayeishi Marekani, Mudara, ikiwa ni jitihada za kukuza wigo wa muziki huo katika ukanda wa Afrika ...
Konde Music Worldwide CEO and renowned Tanzanian artist Harmonize has sent waves of excitement through the music world with the launch of his fifth studio album, 'Muziki Wa Samia'. Bongo artist ...
The biggest star of the Grizzlies is on the "Bong Cam," not the players. — -- Turns out the star of the Memphis Grizzlies is not someone with a great 3-point shot, but rather a woman who ...
Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini ...