Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imesema hivi leo kwamba imewachukulia hatua wanajeshi wengine sita kutokana na kuonesha kufuata mienendo ya siasa kali. Tayari jeshi la Ujerumani limeshawafukuza ...
Kitengo cha kijeshi cha Hamas kimesema leo kuwa kimepoteza mawasiliano na mateka wawili, Matan Angrest na Omri Miran, wakati wa operesheni kali za Israel katika vitongoji viwili vya Gaza City. Kundi ...
Donald Trump amebainisha siku ya Alhamisi, Julai 25, kwamba "hataruhusu Israel kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu," hatua iliyotakiwa na mawaziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa ...
Chama cha Conservative cha Uingereza kinakutana leo Jumapili, Oktoba 5, mjini Manchester kwa mkutano wake wa kila mwaka. Baada ya kuongoza serikali kwa miaka 14, Tories ilipata moja ya hasara mbaya ...
Mshukiwa wa ugaidi ambaye alikwepa shirika la upelelezi la Marekani, FBI, kwa zaidi ya miaka 20 kabla ya kukamatwa huko Wales alifikishwa mahakamani mapema mwezi Septemba. Mtu huyo anayeshukiwa ...
Rais wa Ukraine alikosoa udhaifu wa taasisi za kimataifa kwa kushindwa kuizuia Urusi. Na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Ukraine ameonya kwamba bila hatua kali za washirika "Putin ...
Waziri Mkuu amesema ombi la utaifa wa Palestina ni fursa ya amani, katika hotuba yake kuhusu soluhu ya nchi mbili, alipo hudhuria kikao cha Umoja wa Mataifa hii leo Jumanne 23 Septemba 2025. Serikali ...