Wizara ya ulinzi ya Ujerumani imesema hivi leo kwamba imewachukulia hatua wanajeshi wengine sita kutokana na kuonesha kufuata mienendo ya siasa kali. Tayari jeshi la Ujerumani limeshawafukuza ...
Dar es Salaam. Miaka ya 2000 ilikuwa kipindi ambacho muziki wa Tanzania Bongo Fleva ulishika kasi sio ndani pekee bali hadi Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, mbali na wasanii wa ndani, kulikuwa na ...
UNAVYOMSIKIA anapoimba, ndivyo anavyoongea. Ana sauti iliyopoa na yenye mvuto na ni mtu anayependa zaidi kusikiliza na kujibu bila papara. Huyu ni Said Seif Ali kwenye kazi zake anajulikana kama ‘Nedy ...
Kitengo cha kijeshi cha Hamas kimesema leo kuwa kimepoteza mawasiliano na mateka wawili, Matan Angrest na Omri Miran, wakati wa operesheni kali za Israel katika vitongoji viwili vya Gaza City. Kundi ...
MASHINDANO maarufu ya soka la uswahilini yajulikanayo kama Ndondo Cup 2025 yanaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja vya Bandari na Kinesi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yenye ...