Meli mpya ya mizigo na abiria, MV Mwanza, imeanza kufanya safari za majaribio kutoka bandari ya Mwanza kuelekea Bukoba mkoani Kagera baada ya ukamilikaji wake. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria ...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa tishio jipya kwa juhudi za kutokomeza malaria barani Afrika, utafiti mpya umegundua kuwa mbu aina ya Anopheles funestus, msambazaji mkuu wa ugonjwa huo, amebadili ...