Marekani. Mwanamuziki wa Marekani Bradley Younger, maarufu BVB on the Keys ameweka rekodi katika ulimwengu wa muziki kwa kuachia wimbo mpya kila wiki kwa takribani miaka mitatu mfululizo. BVB amekuwa ...
Kwaya ya Mamajusi ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro (DMK) ni miongoni mwa makundi ya muziki wa injili yaliyodumu kwa zaidi ya miaka 50, ikiwa na historia ya kipekee ya jina na ...
Septemba 28 inatimia miezi sita tangu tetemeko kubwa la ardhi la 7.7 katika kipimo cha Richter lilipolikumba eneo la katikati mwa Myanmar. Jeshi la nchi hiyo liliweka idadi ya watu waliokufa kuwa ...
Wananchi wa Guinea wanapiga kura ya ndiyo au hapana kuhusu rasimu ya Katiba mpya. Rasimu hiyo inalenga kuchukua nafasi ya katiba ya mpito inayotumika tangu mapinduzi ya Septemba 21, 2021 ambayo ...
MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili anayeishi nchini Canada, Jonathan Budju, anatarajia kuachia rasmi albamu yake fupi (EP) iitwayo Ebenezer mnamo Julai 25, 2025. Akizungumza na HabariLEO, Budju ...
Rais wa mpito wa Syria amesema ni "kipaumbele" chake kuwalinda raia wa Druze wa nchi hiyo, baada ya Israel kuapa kuharibu vikosi vya serikali inayovituhumu kuwashambulia waumini wa dini ndogo katika ...
AKILI mnemba (AM) ni teknolojia mpya inayoendesha maisha duniani hasa kwa nchi zilizoendelea. AM au kwa Kiingereza Artificial Intelligency -AI hutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili binadamu kwa ...
Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB inamchaguwa rais wake mpya Alkhamisi, katika mkutano unaofanyika nchini Ivory Coast. Mkutano huo unafanyika wakati benki hiyo ambayo ni mkopeshaji mkubwa wa mataifa ...
Chama cha Social Democrat (SPD) kimeidhinisha makubaliano ya serikali ya mseto na vyama ndugu vya kihafidhina, hatua inayomsafishia njia Friedrich Merz wa chama cha Christian Democrat (CDU) kuwa ...
Dar es Salaam. Jumla ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya ...
JUMLA ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya hafla ya ...
Yuji Iwasawa anamrithi Nawaf Salam, Waziri Mkuu mpya wa Lebanoni. Yuji Iwasawa atachukua nafasi ya mkuu wa mahakama ya Hague hadi muda wa Nawaf Salam utakapokamilika tarehe 5 Februari 2027. Mjapani ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results