Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza ushuru mpya utakaoanza Oktoba 1, kwa kampuni za dawa, malori makubwa, vifaa vya ukarabati wa majumbani na samani. Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza ...
Maafisa wa Ukraine wametoa wito wa uwekezaji kutoka Japani katika ulinzi na sekta zingine ili kusaidia ujenzi mpya wa nchi hiyo kutokana na uharibifu uliosababishwa na mashambulizi ya Urusi. Mashirika ...
Umoja wa Mataifa umezindua mfumo mpya wa kudhibiti teknolojia ya Akili Bandia, AI, ikiwemo jukwaa la kimataifa na jopo la kisayansi. Je, hatua hii inaweza kudhibiti teknolojia inayokua kwa kasi kuliko ...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasukuma mpango mpya wa amani wa kumaliza vita vya Israel na Gaza wakati wa mazungumzo ya White House na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Na Asha Juma ...
"Kampeni za mwaka huu hazina mvuto ukilinganisha na miaka iliyopita," anasema mchambuzi wa siasa za ndani, Mohamed Issa, akieleza hali ya kisiasa inavyoendelea nchini Tanzania mwezi mmoja tangu kuanza ...
MIAKA ya 2000 ilikuwa kipindi ambacho muziki wa Tanzania Bongo Fleva ulishika kasi sio ndani pekee bali hadi Afrika Mashariki na Kati. Hata hivyo, mbali na wasanii wa ndani, kulikuwa pia na wasanii wa ...
President Samia Suluhu's campaign stop drew massive crowds, blending cultural celebration with political messaging in a region rich with symbolism She issued security warnings ahead of the general ...
Silaha za nyuklia bado zinabaki kuwa mojawapo ya vitisho hatari zaidi kwa ubinadamu. Viongozi wa dunia wanatathmini tena hatari kubwa zinazoletwa na silaha hizi na wanasisitiza juhudi mpya za ...
Ningependa tutafakari kwa pamoja uwezekano wa kuwa na siku zijazo zilizo bora kabisa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania ambapo tutakuwa tumejenga ustawi mkubwa sana kwa mataifa yetu yote ...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa tishio jipya kwa juhudi za kutokomeza malaria barani Afrika, utafiti mpya umegundua kuwa mbu aina ya Anopheles funestus, msambazaji mkuu wa ugonjwa huo, amebadili ...
Kikao hicho cha ngazi ya juu kilifuatiwa na jukwaa la wadau wengi lililowakutanisha vijana, viongozi wa biashara, wanawake, watu wenye ulemavu, na wawakilishi kutoka maeneo yenye mizozo, kwa lengo la ...
Dar es Salaam. Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka huu umeweka rekodi mpya kwa namna wanawake walivyojitokeza kuwania nafasi za juu za uongozi. Historia hii mpya imeandikwa kutokana na ongezeko la ...