Dar es Salaam. Idara ya Uhamiaji nchini imewaondoa raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa ...
Haina maana kuwa ili ushindane na mtu sharti uwe hukubaliani naye. Inawezekana ukaona anafaa kwa kila nyanja, lakini kwa sababu ushindani umewekwa, unaamua kujitosa kumkabili unayemkubali. Inaitwa ...
Marekani. Mwanamuziki wa Marekani Bradley Younger, maarufu BVB on the Keys ameweka rekodi katika ulimwengu wa muziki kwa kuachia wimbo mpya kila wiki kwa takribani miaka mitatu mfululizo. BVB amekuwa ...
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Dorcas Francis jana Jumanne Septemba 30, 2025 ameendeleza na kampeni zake kwa mtindo wa ziara za kaya kwa ...
Mkurugenzi wa Biashara wa Pass Trust Adam Kamanda, akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa taasisi hio inayojihusisha na masuala ya kilimo leo Octoba 13, 2025 kwenye kituo cha ...
Mafundi wakiwa wanaendelea na shughuli za ujenzi wa karavati katika eneo la Kwa Kichwa Kata ya Zingiziwa, Ilala jijini Dar es Salaam Dar es Salaam. Eneo korofi maarufu ‘Kwa Kichwa’ lililopo Kata ya ...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James akiwa katika picha ya pamoja na madaktari bingwa watakaotoa huduma za kibingwa mkoani hapo. Picha na Mary Sanyiwa Iringa. Madaktari bingwa 45 kutoka maeneo ...
Dar es Salaam. Wakati ikijiandaa kucheza bila mashabiki katika mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United, Jumapili, Septemba, 28, 2025 na faini ya Dola 50,000 (Sh123 ...
Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Romain Folz amesema kikosi kipo tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya Wiliete akidai atawashushia mziki kamili Waangola katika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya ...
Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wake, Auka John Gecheo, kufuatia uamuzi wa Kamati Tendaji ya baraza hilo. Katika taarifa iliyotolewa ...
Mpina amepata kibali hicho baada ya kuvuka kiunzi cha kwanza cha pingamizi la awali lililowekwa dhidi ya shauri lake la maombi. Alice na mfanyabiashara Mohamed Mustafa Yusufali, wana mgogoro wa ...
Dar es Salaam. “Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemteua Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu. “Uteuzi wa Mirambo ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF utaanza rasmi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results