Marekani. Rapa kutokea Marekani, 50 Cent anajulikana kuwa si mtu wa kuogopa kuingilia mijadala yenye utata kwenye mitandao ya kijamii, lakini anasema kuna mijadala ya aina mbili ambayo amekuwa ...
London, England. Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa mpango kamili wa mchezo uliowawezesha Manchester United kuwashinda wapinzani wao na ...
Geita. Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri ya Manipaa ya Geita na mwekezaji wa majengo ya biashara, Rashid Kwanzibwa.
Dar es Salaam. Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya kazi zake faragha, ikiwazuia waandishi wa habari kuingia katika ukumbi ambao waathirika wa ...
Arusha. Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amemwelezea mzee Edwin Mtei kama kiongozi wa kisiasa na mtendaji wa Serikali jasiri aliyekuwa na uthubutu wa ...
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...