Dar es Salaam. Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya kazi zake faragha, ikiwazuia waandishi wa habari kuingia katika ukumbi ambao waathirika wa ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF),Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa wazee wa kuimarisha haki,umoja na amani kwa Watanzania,uliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Michael ...
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru washtakiwa wawili kati 11 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na ...
Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Erick Ndagwa (32) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya ...
Songea. Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Dar es Salaam. Simba imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Senegal, Libasse Gueye kama mchezaji wake mpya baada ya kukamilisha usajili wake akitokea Teungueth ya Senegal. Gueye (22), amejiunga na ...
Nigeria. Mpishi wa Nigeria, Hilda Baci ameshinda tuzo akiweka rekodi yake ya tatu ya Guinness World Records (GWR) baada ya kuandaa mchele na kupika pilau kilo 8,780 mchele kwa wakati mmoja. Taarifa ya ...
Kaimu mkurugenzi wa Camartec, Godfrey Mwinama (kushoto) akimuonesha Naibu Waziri wa viwanda na biashara Dennis Londo baadhi ya mashine walizobuni Arusha. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis ...
Katibu tawala wa wilaya ya Mufindi, Reuben Chongolo akizungumnza na madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi na halamshauri ya Mji Mafinga wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu yaliyofanyika ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa ...
Arumeru. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na wadau wa mazingira na maji, imezindua rasmi shughuli endelevu ya upandaji miti katika Skimu ya Umwagiliaji Mapama. Lengo la jitihada hizo za ...