Marekani. Rapa kutokea Marekani, 50 Cent anajulikana kuwa si mtu wa kuogopa kuingilia mijadala yenye utata kwenye mitandao ya kijamii, lakini anasema kuna mijadala ya aina mbili ambayo amekuwa ...
London, England. Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa mpango kamili wa mchezo uliowawezesha Manchester United kuwashinda wapinzani wao na ...
Geita. Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri ya Manipaa ya Geita na mwekezaji wa majengo ya biashara, Rashid Kwanzibwa.
Dar es Salaam. Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya kazi zake faragha, ikiwazuia waandishi wa habari kuingia katika ukumbi ambao waathirika wa ...
Arusha. Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amemwelezea mzee Edwin Mtei kama kiongozi wa kisiasa na mtendaji wa Serikali jasiri aliyekuwa na uthubutu wa ...
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF),Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa wazee wa kuimarisha haki,umoja na amani kwa Watanzania,uliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Michael ...
Dar es Salaam. Kiungo Stephane Aziz Ki ameachana na Wydad AC ya Morocco na kujiunga na Al Ittihad ya Libya kwa mkataba wa miaka miwili. Aziz Ki ambaye alijiunga na Wydad, Mei mwaka jana, ameachana na ...
Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Erick Ndagwa (32) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya ...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji ...
Songea. Victor Mhagama, mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, amejitosa kuwania kurithi nafasi ya ubunge ya Peramiho iliyoshikiliwa na mama yake kwa zaidi ya miaka 20 kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kaimu mkurugenzi wa Camartec, Godfrey Mwinama (kushoto) akimuonesha Naibu Waziri wa viwanda na biashara Dennis Londo baadhi ya mashine walizobuni Arusha. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis ...