BAADA ya kupoteza pambano la pili mfululizo dhidi ya Oleksandr Usyk Desemba 2024 na baadae kuamua kustaafu ndondi, Tyson Furry ametangaza atarejea ulingoni mwaka huu ikiwa imepita miezi 14 ...
IDADI ya mastaa wanaosumbuliwa na majeraha katika kikosi cha Liverpool imezidi kuongezeka baada ya Jeremie Frimpong kupata jeraha la nyama za nyuma ya paja (hamstring) katika mechi dhidi ...
MATAJIRI wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia wanaandaa mikakati mikubwa dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kumsajili mshindi wa Ballon d’Or, Ousmane Dembele.