Paris Saint-Germain ya Ufaransa iliicharaza Bayer Leverkusen 7-2, Barcelona ikiondoka na mabao 6 huku Erling Haaland akifunga ...
Mshindi wa medali ya dhahabu mara kadhaa katika mashindano ya dunia ya mbio za nyika, Beatrice Chebet, hatashiriki Mashindano ...
WANAFUNZI 1,582,140 wa darasa la nne kutoka shule 20,517 Tanzania Bara wanatarajiwa kushiriki Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la ...
KOCHA wa KMC, Marcio Maximo amekiri vitatu mfululizo ambavyo wamekumbana navyo kwenye ligi, vinamnyima usingizi na bado ...
Halmashauri ya Mji wa Handeni imefanya bonanza kubwa la michezo lililolenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi ...
Awali polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waombolezaji waliokusanyika katika uwanja wa Kasarani, baada ya hali ...
Wakenya Alhamis walitoa heshima zao za mwisho kwa hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kwenye uwanja wa michezo wa ...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana walinde amani na waipende nchi yao ...
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na tathmini ya timu za Afrika ambazo zimefuzu Kombe la Dunia 2026 na ni nani ambao wana nafasi ...
Vyanzo vya Manchester United vimekanusha madai yaliyotolewa na kiongozi mkuu wa michezo wa Saudi Arabia, Turki Alalshikh, ...
Kampeni za uchaguzi zinakaribia kumalizika nchini Cameroon. Wakati takriban wapiga kura milioni 8 wakiwa wameratibiwa ...
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ...