Kwaya ya Mamajusi ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro (DMK) ni miongoni mwa makundi ya muziki wa injili yaliyodumu kwa zaidi ya miaka 50, ikiwa na historia ya kipekee ya jina na ...
Septemba 28 inatimia miezi sita tangu tetemeko kubwa la ardhi la 7.7 katika kipimo cha Richter lilipolikumba eneo la katikati mwa Myanmar. Jeshi la nchi hiyo liliweka idadi ya watu waliokufa kuwa ...
Wananchi wa Guinea wanapiga kura ya ndiyo au hapana kuhusu rasimu ya Katiba mpya. Rasimu hiyo inalenga kuchukua nafasi ya katiba ya mpito inayotumika tangu mapinduzi ya Septemba 21, 2021 ambayo ...
Kampuni ya chuma ya Japani ya Nippon Steel inasema wakurugenzi watatu huru wa Marekani wameteuliwa kwenye bodi ya kampuni yake tanzu inayoimiliki kikamilifu ya US Steel Corporation. Raia wa Marekani ...
MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili anayeishi nchini Canada, Jonathan Budju, anatarajia kuachia rasmi albamu yake fupi (EP) iitwayo Ebenezer mnamo Julai 25, 2025. Akizungumza na HabariLEO, Budju ...
Rais wa Kenya William Ruto amepuzilia mbali wito ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa upinzani kumtaka ajiuzulu, na kuwapa changamoto kutoa mpango mbadala ufaao badala ya kuchochea ghasia na ...
Wakati wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wametulia usiku majumbani kwao wakitumia muda huo kupumzika, kwa upande wa mwanamuziki Mbosso usiku wa kuamkia leo Juni 13,2025 ulikuwa wa tofauti kwani ...
AKILI mnemba (AM) ni teknolojia mpya inayoendesha maisha duniani hasa kwa nchi zilizoendelea. AM au kwa Kiingereza Artificial Intelligency -AI hutatua changamoto mbalimbali zinazomkabili binadamu kwa ...
Urusi inapendekeza kuwa Ukraine ifanye duru ya pili ya mazungumzo kwa mara nyingine tena mjini Istanbul. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov ametangaza kwamba Kremlin iko tayari kuanza ...
Mahakama ya Biashara ya Marekani imebatilisha hatua ya Rais Donald Trump ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, ikisema alienda kinyume cha mamlaka yake ya kisheria. Mahakama ya ...
Chama cha Social Democrat (SPD) kimeidhinisha makubaliano ya serikali ya mseto na vyama ndugu vya kihafidhina, hatua inayomsafishia njia Friedrich Merz wa chama cha Christian Democrat (CDU) kuwa ...
Dar es Salaam. Jumla ya kazi 529 za wasanii wa muziki wa Injili zimepokewa na Waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili nchini (TGMA), ili kuanza mchakato wa kupata wakali watakaotunukiwa heshima siku ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results