Dar es Salaam. Wakati Taifa linapoadhimisha kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuwekeza ...
Marekani. Mwanamuziki wa Marekani Bradley Younger, maarufu BVB on the Keys ameweka rekodi katika ulimwengu wa muziki kwa kuachia wimbo mpya kila wiki kwa takribani miaka mitatu mfululizo. BVB amekuwa ...
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Dorcas Francis jana Jumanne Septemba 30, 2025 ameendeleza na kampeni zake kwa mtindo wa ziara za kaya kwa ...
Haina maana kuwa ili ushindane na mtu sharti uwe hukubaliani naye. Inawezekana ukaona anafaa kwa kila nyanja, lakini kwa sababu ushindani umewekwa, unaamua kujitosa kumkabili unayemkubali. Inaitwa ...
Yaoundé. Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon, Paul Biya, amewataka wananchi wa Cameroon kutompigia kura baba yake katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akimlaumu kwa utawala usiofaa wa miaka 43 ...
‎‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameigomea Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili, ...
Mgombea Urais wa chama cha UDP Saumu Rashid akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katavya Nyankumbu Manispaa ya Geita. Geita. Mgombea urais wa Chama cha United Democratic ...
‎‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibuka na mapya akiilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pamoja na mambo mengine kwa kutokuorodhesha ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma leo Jumatatu, Septemba 8, 2025 inahitimisha usikilizaji shauri la kuenguliwa kwa mgombea urais aliyeteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo kupeperusha ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mbio za mwenge wa uhuru mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Zaidi ya miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ...
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na wahariri na waandishi wa habari waandamizi katika ofisi ndogo za makao makuu ya chama hicho, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 11, ...