KATIKA soka la kisasa lenye presha kubwa ya matokeo na uharaka ni nadra kuona makocha wakubwa wakikaa nje na hawana kazi kwa muda mrefu.