Ni habari mbaya kwa wapenzi wa muziki wa Bollywood baada ya juzi muimbaji na mwanamuziki wa India, Arijit Singh, kutangaza ...
MSHAMBULIAJI mpya wa TRA United ya Tabora, Enock Jiah, amesema amefurahi kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kukaa kwa muda bila ...
KATIKA soka la kisasa lenye presha kubwa ya matokeo na uharaka ni nadra kuona makocha wakubwa wakikaa nje na hawana kazi kwa ...
VAIBU la Azam FC baada ya kushinda kwa mara ya kwanza hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika, limemfanya kocha wa ...
WIKI hii iliyoanza siku tano zilizopita imekuwa ngumu kwa mashabiki wa Arsenal na Simba ya hapa nchini, hii ni kutokana na ...
KIKOSI cha Simba, leo Alhamisi kinashuka kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam kucheza mechi ya Ligi ...
Swali ni je, Okello ataweza kutengeneza rekodi yake mwenyewe ndani ya Yanga kama alivyofanya nje ya timu hiyo, na hata ...
Hata hivyo, hatua ya mwisho kwa Simba kujipima juu ya matokeo hayo itakuwa Februari Mosi, 2026 itakaporudiana na Esperance de Tunis kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, lakini kabla ...
Kiungo huyo raia wa Burkina Faso ambaye alikuwa na kikosi cha Wydad katika michuano ya Kombe la Dunia la Klabu 2025 nchini ...
UONGOZI wa Coastal Union uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa straika wa TP Mazembe ya DR Congo, ...
January 28, 2026 imekuwa siku ya huzuni kwa wadau na wapenzi wa soka Tanzania baada ya kuagwa na kuzikwa kwa mwili wa nyota ...
JAMIE Carragher amewaacha Cole Palmer na Phil Foden kwenye orodha yake ya wachezaji kumi wa "uhakika" wa timu ya taifa ya England kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia 2026.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results