WASHAMBULIAJI, Eliuter Mpepo wa Singida Black Stars na Adam Uledi wa Transit Camp inayoshiriki Championship msimu huu, ...
MANCHESTER United bado inatafakari kuhusu hatma ya beki wao wa kimataifa wa England, Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 32.
ALIYEKUWA beki wa TRA United, Yassin Mustafa ameanza mazoezi na Coastal Union baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akiwa ...
LIBASE Gueye, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu Bara ndani ya Simba akicheza dhidi ya Mashujaa, amefanikiwa kufunga bao, huku ...
HUENDA umekuwa ukiona jambo hili, lakini hukuwahi kufikia linafanyika kwa sababu zipi. Ndiyo, ni mara nyingi imekuwa ikionekana wachezaji au makocha pale wanapokuwa wakizungumza uwanjani ...
WAKATI kesho Ijumaa Januari 30, 2026 dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufungwa, Kocha wa Pamba Jiji, Francis Bara amesema ...
"TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji". Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia ...
HUU unaonekana ni msimu wa kipekee na dirisha la usajili la mwezi Januari limegeuka kuwa kimbilio muhimu kwa klabu nyingi.
SIMBA imeshusha nyota takribani saba wa kigeni katika dirisha hili dogo la usajili huku ikifungulia milango wengine kwa kuwaondoa katika kikosi chake na baadhi bado ipo nao lakini ...
AGOSTI mwaka jana, kinda wa Kitanzania, Sabri Kondo alijiunga na BK Hacken inayoshiriki Ligi Kuu ya Sweden akitokea Singida ...
KOLABO katika muziki wa Bongo Fleva ni nyingi na kuna vichwa vikikutana kinachotokea ni mzuka tu. Lazima wakubalike kutokana ...
Saa chache baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuufungia Uwanja wa KMC Complex, sababu mbili zimetajwa kusababisha ...